Ibuti la Jauza : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 20: Mstari 20:
== Marejeo ==
== Marejeo ==
{{reflist}}
{{reflist}}


== Viungo vya Nje ==
{{commons category|Betelgeuse}}

* [http://www.mrao.cam.ac.uk/outreach/radio-telescopes/coast/coast-astronomical-results/surface-imaging-of-betelgeuse/ Surface imaging of Betelgeuse with COAST and the WHT] Interferometric images taken at different wavelengths.
* [https://web.archive.org/web/20070404072609/http://www.ipac.caltech.edu/Outreach/Edu/Regions/irregions.html Near, Mid and Far Infrared] Infrared Processing and Analysis Center (IPAC) webpage showing pictures at various wavelengths.
* [[Astronomy Picture of the Day|APOD]] Pictures:
# [http://apod.nasa.gov/apod/ap071225.html Mars and Orion Over Monument Valley] Skyscape showing the relative brightness of Betelgeuse and Rigel.
# [http://apod.nasa.gov/apod/ap101023.html Orion: Head to Toe] Breathtaking vista the Orion Molecular Cloud Complex from Rogelio Bernal Andreo.
# [http://apod.nasa.gov/apod/ap100106.html The Spotty Surface of Betelgeuse] A reconstructed image showing two hotspots, possibly convection cells.
# [http://apod.nasa.gov/apod/ap001222.html Simulated Supergiant Star] Freytag's "Star in a Box" illustrating the nature of Betelgeuse's "monster granules".
# [http://apod.nasa.gov/apod/ap000725.html Why Stars Twinkle] Image of Betelgeuse showing the effect of atmospheric twinkling in a telescope.
* [http://www.astro.uu.se/~bf/movie/dst35gm04n26/rsgintro_en.html Red supergiant movie] Numerical simulation of a red supergiant star like Betelgeuse.



[[Category:Majitu mekundu]]
[[Category:Majitu mekundu]]

Pitio la 11:31, 25 Mei 2017

Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya α unaonyesha Ibuti la Jauza (Betelgeuse) katika kundinyota ya Sayadi (Orion)

Ibuti la Jauza (jina la kisayansi Alpha Orionis, kwa Kiingereza Betelgeuse) ni nyota ya aina ya jitu jekundu inayoonekana katika kundinyota Sayadi (Orion).

Jina

Jina la Ibuti la Jauza lilijulikana tangu karne nyingi na mabaharia waliotumia nyota hii kama msaada wa kukuta njia yao baharini wakati wa usiku. Asili ya jina ni Kiarabu إبط الجوزاء (ibt al jauza) na jina hili lilipokewa pia na wanaastronomia wa Ulaya wakati wa karne za kati na kwa matamshi ya kigeni kuwa "i-bt-al-geuza" halafu "Betelgeuze". Jina la kitaalamu la kisasa ni "Alpha Orionis" (α Orionis) kwa sababu ilionekana kuwa nyota angavu zaidi katika kundiyota yake.[1].

Uangavu na umbali

Ni nyota angavu ya tisa kati ya nyota zote zinazoonekana angani na nyota angavu ya pili kwenye Sayadi (Orion). Uangavu wake unachezacheza kati ya vipimo vya 0.2 na 1.2.[2]

Umbali wake na dunia ulikadiriwa mnamo mwaka 2008 kuwa miaka ya nuru 640[3]

Hali ya nyota

Umri wa Ibuti la Jauza haufukii miaka milioni 10 lakini umeendelea haraka kutokana na masi yake kubwa. [4]

Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za mageuzi ya nyota (stellar evolution). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama nyota ya nova. [5]

Tazama pia

Marejeo

  1. Hata hivyo Ibuti la Jauza ilipewa jina la "alfa Orionis" katika orodha ya Bayer inayomaanisha ni nyota angavu kushinda nyingine katika kundi la nyota; inawezekana Bayer aliiona wakati iling'aa zaidi, maana uangavu wake unachezacheza, lakini kwa kawaida Rijili Kantori (Rigel) inang'aa zaidi.
  2. Davis, Kate (AAVSO Technical Assistant, Web) 2000. Variable star of the month: Alpha Orionis. American Association of Variable Star Observers (AAVSO). [1]
  3. Harper, Graham M. et al. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. The Astronomical Journal 135 (4): 1430–40. [2]
  4. Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. Astronomical Society of the Pacific. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: 103. [3]
  5. Betelgeuse braces for a collision. ESA (2013-01-22). Iliwekwa mnamo 2013-01-23.


Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. Mars and Orion Over Monument Valley Skyscape showing the relative brightness of Betelgeuse and Rigel.
  2. Orion: Head to Toe Breathtaking vista the Orion Molecular Cloud Complex from Rogelio Bernal Andreo.
  3. The Spotty Surface of Betelgeuse A reconstructed image showing two hotspots, possibly convection cells.
  4. Simulated Supergiant Star Freytag's "Star in a Box" illustrating the nature of Betelgeuse's "monster granules".
  5. Why Stars Twinkle Image of Betelgeuse showing the effect of atmospheric twinkling in a telescope.