Ibuti la Jauza : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[File:Position Alpha Ori.png|thumb|right|230px|Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya '''[[α]]''' unaonyesha Ibuti la Jauza (Betelgeuse) katika kundinyota ya Sayadi ([[:en:Orion (constellation)|Orion]])]] |
[[File:Position Alpha Ori.png|thumb|right|230px|Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya '''[[α]]''' unaonyesha Ibuti la Jauza (Betelgeuse) katika kundinyota ya Sayadi ([[:en:Orion (constellation)|Orion]])]] |
||
⚫ | |||
⚫ | |||
==Jina== |
==Jina== |
||
Jina la Ibuti la Jauza lilijulikana tangu karne nyingi na |
[[Jina]] la Ibuti la Jauza lilijulikana tangu [[karne]] nyingi na [[baharia|mabaharia]] waliotumia nyota hii kama msaada wa kukuta [[njia]] yao [[Bahari|baharini]] wakati wa [[usiku]]. [[Asili]] ya jina ni [[Kiarabu]] <big>إبط الجوزاء</big> (''ibt al jauza'') na jina hili lilipokewa pia na [[wanaastronomia]] wa [[Ulaya]] wakati wa [[karne za kati]] na kwa matamshi ya kigeni kuwa "i-bt-al-geuza" halafu "Betelgeuze". Jina la kitaalamu la kisasa ni "Alpha Orionis" ('''[[α]]''' Orionis) kwa sababu ilionekana kuwa nyota angavu zaidi katika kundiyota yake.<ref>Hata hivyo Ibuti la Jauza ilipewa jina la "alfa Orionis" katika [[orodha ya Bayer]] inayomaanisha ni nyota angavu kushinda nyingine katika kundi la nyota; inawezekana Bayer aliiona wakati iling'aa zaidi, maana [[uangavu]] wake unachezacheza, lakini kwa kawaida [[Rijili Kantori]] (Rigel) inang'aa zaidi.</ref>. |
||
== |
==Uangavu na umbali== |
||
Ni nyota |
Ni nyota angavu ya [[tisa]] kati ya nyota zote zinazoonekana [[anga|angani]] na nyota angavu ya pili kwenye Sayadi (Orion). Uangavu wake unachezacheza kati ya vipimo vya 0.2 na 1.2.<ref>Davis, Kate (AAVSO Technical Assistant, Web) 2000. Variable star of the month: Alpha Orionis. ''American Association of Variable Star Observers'' (AAVSO). [http://www.aavso.org/vsots_alphaori]</ref> |
||
Umbali wake na dunia ulikadiriwa mnamo mwaka 2008 kuwa [[miaka ya nuru]] 640<ref>Harper, Graham M. ''et al''. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. ''The Astronomical Journal'' '''135''' (4): 1430–40. [http://iopscience.iop.org/1538-3881/135/4/1430/]</ref> |
[[Umbali]] wake na [[dunia]] ulikadiriwa mnamo mwaka [[2008]] kuwa [[miaka ya nuru]] 640<ref>Harper, Graham M. ''et al''. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. ''The Astronomical Journal'' '''135''' (4): 1430–40. [http://iopscience.iop.org/1538-3881/135/4/1430/]</ref> |
||
==Hali ya nyota== |
==Hali ya nyota== |
||
Umri wa Ibuti la Jauza |
[[Umri]] wa Ibuti la Jauza haufukii miaka [[milioni]] 10 lakini umeendelea haraka kutokana na [[masi]] yake kubwa. <ref>Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. ''Astronomical Society of the Pacific''. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: '''103'''. [http://arxiv.org/abs/0911.4720]</ref> |
||
Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za [[mageuzi ya nyota]] (''[[:en:stellar evolution|stellar evolution]]''). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama [[nyota ya nova]]. <ref>{{cite web|url=http://www.esa.int/Our_Activities/Space_Science/Betelgeuse_braces_for_a_collision |title=Betelgeuse braces for a collision |publisher=ESA |date=2013-01-22 |accessdate=2013-01-23 }}</ref> |
Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za [[mageuzi ya nyota]] (''[[:en:stellar evolution|stellar evolution]]''). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama [[nyota ya nova]]. <ref>{{cite web|url=http://www.esa.int/Our_Activities/Space_Science/Betelgeuse_braces_for_a_collision |title=Betelgeuse braces for a collision |publisher=ESA |date=2013-01-22 |accessdate=2013-01-23 }}</ref> |
||
Mstari 22: | Mstari 21: | ||
{{reflist}} |
{{reflist}} |
||
⚫ | |||
[[Jamii:Nyota]] |
|||
⚫ |
Pitio la 09:26, 25 Mei 2017
Ibuti la Jauza (jina la kisayansi Alpha Orionis, kwa Kiingereza Betelgeuse) ni nyota ya aina ya jitu jekundu inayoonekana katika kundinyota Sayadi (Orion).
Jina
Jina la Ibuti la Jauza lilijulikana tangu karne nyingi na mabaharia waliotumia nyota hii kama msaada wa kukuta njia yao baharini wakati wa usiku. Asili ya jina ni Kiarabu إبط الجوزاء (ibt al jauza) na jina hili lilipokewa pia na wanaastronomia wa Ulaya wakati wa karne za kati na kwa matamshi ya kigeni kuwa "i-bt-al-geuza" halafu "Betelgeuze". Jina la kitaalamu la kisasa ni "Alpha Orionis" (α Orionis) kwa sababu ilionekana kuwa nyota angavu zaidi katika kundiyota yake.[1].
Uangavu na umbali
Ni nyota angavu ya tisa kati ya nyota zote zinazoonekana angani na nyota angavu ya pili kwenye Sayadi (Orion). Uangavu wake unachezacheza kati ya vipimo vya 0.2 na 1.2.[2]
Umbali wake na dunia ulikadiriwa mnamo mwaka 2008 kuwa miaka ya nuru 640[3]
Hali ya nyota
Umri wa Ibuti la Jauza haufukii miaka milioni 10 lakini umeendelea haraka kutokana na masi yake kubwa. [4]
Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za mageuzi ya nyota (stellar evolution). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama nyota ya nova. [5]
Tazama pia
Marejeo
- ↑ Hata hivyo Ibuti la Jauza ilipewa jina la "alfa Orionis" katika orodha ya Bayer inayomaanisha ni nyota angavu kushinda nyingine katika kundi la nyota; inawezekana Bayer aliiona wakati iling'aa zaidi, maana uangavu wake unachezacheza, lakini kwa kawaida Rijili Kantori (Rigel) inang'aa zaidi.
- ↑ Davis, Kate (AAVSO Technical Assistant, Web) 2000. Variable star of the month: Alpha Orionis. American Association of Variable Star Observers (AAVSO). [1]
- ↑ Harper, Graham M. et al. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. The Astronomical Journal 135 (4): 1430–40. [2]
- ↑ Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. Astronomical Society of the Pacific. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: 103. [3]
- ↑ "Betelgeuse braces for a collision". ESA. 2013-01-22. Iliwekwa mnamo 2013-01-23.