Ibuti la Jauza : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[File:Position Alpha Ori.png|thumb|right|230px|Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya '''α''' unaonyesha Ibuti la Jauza (Betelgeuse) katika kundinyota ya Sayadi ([[:en:Orion (constellation)|Orion]])]] |
[[File:Position Alpha Ori.png|thumb|right|230px|Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya '''[[α]]''' unaonyesha Ibuti la Jauza (Betelgeuse) katika kundinyota ya Sayadi ([[:en:Orion (constellation)|Orion]])]] |
||
'''Ibuti la Jauza''' (jina la kisayansi '''Alpha Orionis''', [[ing.]] '''''[[:en:Betelgeuse|Betelgeuse]]''''') ni [[nyota]] ya aina [[jitu nyekundu]] inayoonekana katika [[kundinyota]] [[Sayadi]] (''[[:en:Orion (constellation)|Orion]]''). |

==Jina== |
|||
Jina la Ibuti la Jauza lilijulikana tangu karne nyingi na mabaria waliotumia nyota hii kama msaada wa kukuta njia yao bahari wakati wa usiku. Asili ya jina ni Kiarabu <big>إبط الجوزاء</big> (''ibt al jauza'') na jina hili lilipokelewa pia na wanaastronomia wa Ulaya wakati wa [[karne za kati]] na kwa matamshi ya kigeni kuwa "i-bt-al-geuza" halafu "Betelgeuze". Jina la kitaalamu la kisasa ni "Alpha Orionis" ('''[[α]]''' Orionis) kwa sababu ilionekana kuwa nyota ang'avu zaidi katika kundiyota yake.<ref>Hata hivyo Ibuti la Jauza ilipewa jina la "alfa Orionis" katika [[orodha ya Bayer]] inayomaanisha ni nyota ang'avu zaidi kushinda nyingine katika kundi la nyota; inawezekana Bayer aliiona wakati iling'aa zaidi maana ung'avu wake unachezacheza, lakini kwa kawaida Rijili Kantori (Rigel) inang'aa zaidi.</ref>. |
|||
==Ung'avu na umbali== |
|||
Ni nyota ang'avu ya tisa kati ya nyota zote zinazoonekana angani na nyota ang'avu ya pili kwenye Sayadi (Orion). Ung'avu wake unachezacheza kati ya vipimo vya 0.2 na 1.2.<ref>Davis, Kate (AAVSO Technical Assistant, Web) 2000. Variable star of the month: Alpha Orionis. ''American Association of Variable Star Observers'' (AAVSO). [http://www.aavso.org/vsots_alphaori]</ref> |
|||
Umbali wake na dunia ulikadiriwa mnamo mwaka 2008 kuwa [[miaka ya nuru]] 640<ref>Harper, Graham M. ''et al''. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. ''The Astronomical Journal'' '''135''' (4): 1430–40. [http://iopscience.iop.org/1538-3881/135/4/1430/]</ref> |

==Hali ya nyota== |
|||
Umri wa Ibuti la Jauza hautimizi miaka milioni 10 lakini umeendelea haraka kutokana na masi yake kubwa. <ref>Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. ''Astronomical Society of the Pacific''. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: '''103'''. [http://arxiv.org/abs/0911.4720]</ref> |

Pitio la 21:26, 24 Mei 2017
Ibuti la Jauza (jina la kisayansi Alpha Orionis, ing. Betelgeuse) ni nyota ya aina jitu nyekundu inayoonekana katika kundinyota Sayadi (Orion).
Jina
Jina la Ibuti la Jauza lilijulikana tangu karne nyingi na mabaria waliotumia nyota hii kama msaada wa kukuta njia yao bahari wakati wa usiku. Asili ya jina ni Kiarabu إبط الجوزاء (ibt al jauza) na jina hili lilipokelewa pia na wanaastronomia wa Ulaya wakati wa karne za kati na kwa matamshi ya kigeni kuwa "i-bt-al-geuza" halafu "Betelgeuze". Jina la kitaalamu la kisasa ni "Alpha Orionis" (α Orionis) kwa sababu ilionekana kuwa nyota ang'avu zaidi katika kundiyota yake.[1].
Ung'avu na umbali
Ni nyota ang'avu ya tisa kati ya nyota zote zinazoonekana angani na nyota ang'avu ya pili kwenye Sayadi (Orion). Ung'avu wake unachezacheza kati ya vipimo vya 0.2 na 1.2.[2]
Umbali wake na dunia ulikadiriwa mnamo mwaka 2008 kuwa miaka ya nuru 640[3]
Hali ya nyota
Umri wa Ibuti la Jauza hautimizi miaka milioni 10 lakini umeendelea haraka kutokana na masi yake kubwa. [4]
Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za mageuzi ya nyota (stellar evolution). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama nyota ya nova. [5]
Tazama pia
Marejeo
- ↑ Hata hivyo Ibuti la Jauza ilipewa jina la "alfa Orionis" katika orodha ya Bayer inayomaanisha ni nyota ang'avu zaidi kushinda nyingine katika kundi la nyota; inawezekana Bayer aliiona wakati iling'aa zaidi maana ung'avu wake unachezacheza, lakini kwa kawaida Rijili Kantori (Rigel) inang'aa zaidi.
- ↑ Davis, Kate (AAVSO Technical Assistant, Web) 2000. Variable star of the month: Alpha Orionis. American Association of Variable Star Observers (AAVSO). [1]
- ↑ Harper, Graham M. et al. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. The Astronomical Journal 135 (4): 1430–40. [2]
- ↑ Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. Astronomical Society of the Pacific. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: 103. [3]
- ↑ "Betelgeuse braces for a collision". ESA. 2013-01-22. Iliwekwa mnamo 2013-01-23.