Ibuti la Jauza : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'File:Position Alpha Ori.png|thumb|right|230px|Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya '''α''' unaonyesha Ibuti la Jauza (Be...'
 
No edit summary
Mstari 7: Mstari 7:
Umri wa Ibuti la Jauza hautimizi miaka milioni 10 lakini umeendelea haraka kutokana na masi yake kubwa. <ref>Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. ''Astronomical Society of the Pacific''. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: '''103'''. [http://arxiv.org/abs/0911.4720]</ref>
Umri wa Ibuti la Jauza hautimizi miaka milioni 10 lakini umeendelea haraka kutokana na masi yake kubwa. <ref>Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. ''Astronomical Society of the Pacific''. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: '''103'''. [http://arxiv.org/abs/0911.4720]</ref>


Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho wa [[mageuzi ya nyota]] (''[[:en:stellar evolution|stellar evolution]]''). Katika kipindi cha miaka milini 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama [[nyota ya nova]]. <ref>{{cite web|url=http://www.esa.int/Our_Activities/Space_Science/Betelgeuse_braces_for_a_collision |title=Betelgeuse braces for a collision |publisher=ESA |date=2013-01-22 |accessdate=2013-01-23 }}</ref>
Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za [[mageuzi ya nyota]] (''[[:en:stellar evolution|stellar evolution]]''). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama [[nyota ya nova]]. <ref>{{cite web|url=http://www.esa.int/Our_Activities/Space_Science/Betelgeuse_braces_for_a_collision |title=Betelgeuse braces for a collision |publisher=ESA |date=2013-01-22 |accessdate=2013-01-23 }}</ref>


== Tazama pia ==
== Tazama pia ==

Pitio la 20:56, 24 Mei 2017

Mshale wa rangi ya pinki unaoelekeza nyota upande wa kulia yenye alama ya α unaonyesha Ibuti la Jauza (Betelgeuse) katika kundinyota ya Sayadi (Orion)

Ibuti la Jauza (jina la kisayansi Alpha Orionis, ing. Betelgeuse) ni nyota ya aina jitu nyekundu inayoonekana katika kundinyota Sayadi (Orion). Ni nyota ang'avu ya tisa kati ya nyota zote zinazoonekana angani na nyota ang'avu ya pili kwenye Sayadi (Orion). Ung'avu wake unachezacheza kati ya vipimo vya 0.2 na 1.2.[1]

Umbali wake na dunia ulikadiriwa mnamo mwaka 2008 kuwa miaka ya nuru 640[2]

Umri wa Ibuti la Jauza hautimizi miaka milioni 10 lakini umeendelea haraka kutokana na masi yake kubwa. [3]

Ibuti la Jauza imeshaendelea kufikia ngazi za mwisho za mageuzi ya nyota (stellar evolution). Katika kipindi cha miaka milioni 1 ijayo inakadiriwa kutimiza mageuzi yake hadi kulipuka kama nyota ya nova. [4]

Tazama pia

Marejeo

  1. Davis, Kate (AAVSO Technical Assistant, Web) 2000. Variable star of the month: Alpha Orionis. American Association of Variable Star Observers (AAVSO). [1]
  2. Harper, Graham M. et al. 2008. A new VLA-Hipparcos distance to Betelgeuse and its implications. The Astronomical Journal 135 (4): 1430–40. [2]
  3. Levesque E.M. 2010. The physical properties of red supergiants. Astronomical Society of the Pacific. 425 Hot and Cool: Bridging Gaps in Massive Star Evolution ASP Conference Series: 103. [3]
  4. "Betelgeuse braces for a collision". ESA. 2013-01-22. Iliwekwa mnamo 2013-01-23.