Korentino : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|[[Picha takatifu ya kisasa.]] '''Korentino''' (375 hivi - 12 Desemba 453), kadiri ya mapokeo, alikuwa ask...'
 
Mstari 8: Mstari 8:


Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe 12 Desemba.
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe 12 Desemba.

==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]


== Marejeo ==
== Marejeo ==

Pitio la 16:09, 23 Mei 2017

Picha takatifu ya kisasa.

Korentino (375 hivi - 12 Desemba 453), kadiri ya mapokeo, alikuwa askofu wa Quimper ([Bretagne]].

Maisha

Habari zake zinapatikana katika Maisha ya Mtakatifu Korentino yaliyoandikwa miaka 1220-1235.

Baada ya kuwa mkaapweke huko Plomodiern, mfalme Gradlon aliamua kuanzisha jimbo huko Quimper akamteua Korentino awe askofu wa kwanza. Hivyo akamtuma Tours apewe daraja takatifu na Martino.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Desemba.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.