Mtumiaji:Baba Tabita : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d rekebisha mwaka |
michango 60,000 |
||
Mstari 15: | Mstari 15: | ||
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki miaka ya 1996 hadi 2016. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya lugha za Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]]. |

Tarehe |
Tarehe 20 Mei 2017 nimefikisha michango [https://tools.wmflabs.org/guc/index.php?user=Baba%20Tabita 60,000]. |
||
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako siingii mtandaoni hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni! |

Pitio la 19:47, 21 Mei 2017
Mtumiaji huyu ana kazi nyingi katika maisha ya kweli na hawezi kujibu maswali yako kwa uharaka zaidi. |
Baba Tabita | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki miaka ya 1996 hadi 2016. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.
Tarehe 20 Mei 2017 nimefikisha michango 60,000.
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako siingii mtandaoni hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!