Kinyamwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
Mstari 3: Mstari 3:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://multitree.org/codes/nym lugha ya Kinyamwezi kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/nym lugha ya Kinyamwezi kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/nym.html ramani ya Kinyamwezi]
*[http://www.language-archives.org/language/nym makala za OLAC kuhusu Kinyamwezi]
*[http://www.language-archives.org/language/nym makala za OLAC kuhusu Kinyamwezi]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/nyam1276 lugha ya Kinyamwezi katika Glottolog]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/nyam1276 lugha ya Kinyamwezi katika Glottolog]

Pitio la 12:01, 21 Mei 2017

Kinyamwezi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyamwezi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyamwezi imehesabiwa kuwa watu 980,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyamwezi iko katika kundi la F20. Inafanana na Kisukuma.

Viungo vya nje

Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Maganga, Clement; Schadeberg, Thilo C. 1992. Kinyamwezi: grammar, texts, vocabulary. (East African languages and dialects, vol 1.) Köln: Rüdiger Köppe Verlag. Kurasa 325. [ISBN 3-927620-40-8]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyamwezi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.