Wizara ya Fedha na Uchumi
Mandhari
(Elekezwa kutoka MOF)
| Wizara ya Fedha na Uchumi English: Ministry of Finance and Economic Affairs | |
|---|---|
| Ilianzishwa | 1964 |
| Mamlaka | Tanzania |
| Makao Makuu | Madaraka Avenue, Dar es Salaam |
| Waziri | William Mgimwa |
| Naibu Waziri | Janet Mbene Saada Salum |
| Katibu Mkuu | Ramadhan Khijjah |
| Tovuti | mof.go.tz |
Wizara ya Fedha na Uchumi (Kiingereza: Ministry of Finance and Economic Affairs kifupi (MOF)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii ipo mjini Dar es Salaam.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Serikali ya Tanzania
- Madaraka ya wizara
- Wizara za Serikali ya Tanzania
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 30 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
- Wizara ya fedha ya Uchumi ya Tanzania
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wizara ya Fedha na Uchumi Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |