Wizara ya Nishati na Madini
Mandhari
(Elekezwa kutoka MEM)
| Wizara ya Nishati na Madini English: Ministry of Energy and Minerals | |
|---|---|
| Mamlaka | Tanzania |
| Makao Makuu | Samora Avenue, Dar es Salaam |
| Waziri | Sospeter Muhongo |
| Naibu Waziri | Stephen Masele |
| Katibu Mkuu | Eliachim Maswi |
| Tovuti | mem.go.tz |
Wizara ya Nishati na Madini (kwa Kiingereza: Ministry of Energy and Minerals; kifupi (MEM)) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.
Ofisi kuu za wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam.
Tarehe 7 Oktoba 2017 John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya tano, aliivunja wizara hii na kuifanya kuwa wizara mbili tofauti: Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini, na tarehe 9 Oktoba 2017 aliweza kuwaapisha rasmi mawaziri na naibu mawaziri wa wizara hizo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti Ilihifadhiwa 30 Januari 2018 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wizara ya Nishati na Madini Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |