M. L. Fick
Mandhari
Martin Laurence Fick (30 Novemba 1898 – 2 Agosti 1945) alikuwa mwanasaikolojia na mtaalamu wa vipimo vya akili wa Afrika Kusini. Fick anafahamika kwa kazi yake ya kufanya vipimo vya akili kwa watoto wa Afrika Kusini pia kulingana na utafiti huo, alihitimisha kuwa watoto wazawa wa Afrika Kusini walikuwa na uwezo mdogo wa kiakili kulinganisha na wenzao wa Ulaya, jambo lililounga mkono sera ya serikali ya Afrika Kusini ya wakati huo ya kutowekeza katika elimu ya watoto wazawa.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hans, Nicholas (2011). Comparative Education. Routledge. uk. 33. ISBN 978-0415664288.
- ↑ Long, Graham Mark (2004). Relativism and the Foundations of Liberalism (kwa Kiingereza). Imprint Academic. uk. 172. ISBN 978-1-84540-004-0.
- ↑ Pillay, Anthony L (Septemba 2019). "South Africa's phoenix rising from the ashes of apartheid Psychology: The Psychological Society of South Africa 25 years on". South African Journal of Psychology (kwa Kiingereza). 49 (3): 305–307. doi:10.1177/0081246319866968. ISSN 0081-2463.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu M. L. Fick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |