Nenda kwa yaliyomo

Lzzy Hale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
**Hale** akitumbuiza na **Halestorm** mwaka 2023.

Elizabeth Mae "Lzzy" Hale IV [1](alizaliwa 10 Oktoba, 1983) ni mwanamuziki wa Marekani. Yeye ni mwimbaji mkuu na mpiga gitaa wa rhythm wa bendi ya hard rock ya Halestorm, aliyoianzisha pamoja na ndugu yake Arejay Hale mwaka 1997.[2][3][4]

  1. Reesman, Bryan (Julai 12, 2022). "Halestorm's Lzzy Hale Talks Roaring 'Back From the Dead' With No. 1 Hits, Summer Tour". Billboard. Iliwekwa mnamo Julai 15, 2023.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Madden, Emma (Oktoba 10, 2022). "Halestorm's Lzzy Hale: My Life Story". Revolver. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Halestorm's Lzzy Hale Plays 'Wikipedia: Fact or Fiction?'". Loudwire. Mei 18, 2016. Iliwekwa mnamo Novemba 14, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Morton, luke (Machi 2016). "The Gospel according to Lzzy Hale". Metal Hammer. Iliwekwa mnamo 4 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lzzy Hale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.