Lydia Oile
Mandhari
Lydia Oile ni mfanyabiashara na mtendaji wa kampuni kutoka nchini Uganda, ambaye ni mwanzilishi, mmiliki na Afisa Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Le Mémorial Medical Services, iliyopo Kigo, wilaya ya Wakiso , ndani ya Eneo la Kati la Uganda.[1]
Historia na elimu
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa mwaka 1960 akiwa binti wa Mchungaji Yosiya Kabugombe wa Kijiji cha Nyabiteete, wilaya Rukungiri, katika Eneo la Magharibi la Uganda, akiwa mtoto wa tisa kati ya watoto kumi wa familia hiyo.
Alisoma Shule ya Msingi ya Nyabiteete na Bweranyangi Girls' Senior Secondary School kwa elimu yake ya msingi na sekondari. Baadaye alipata mafunzo katika Shule ya Paramedical ya Mulago, ambako alihitimu kama Msaidizi wa Dawa (Anesthetic Assistant) mwanzoni mwa miaka ya 1980.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Nantume, Gillian (30 Julai 2017). "Oile's Quest To Heal The Sick". Daily Monitor. Kampala. Iliwekwa mnamo 3 Aprili 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lydia Oile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |