Lusona
Mandhari

Lusona (wingi: Sona) ni michoro ya alama za ideografu unaojulikana mashariki mwa Angola, kaskazini-magharibi mwa Zambia na maeneo jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na hufanywa hasa na Wachokwe na watu wa lugha ya Kiluchazi. Ideografu hizo hufanya kazi kama vifaa vya kusaidia kukumbuka methali, ngano, michezo, vitendawili, wanyama na kupitisha maarifa.[1][2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Chavey, Darrah. "Sona Geometry". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-07.
- ↑ Gerdes, Paulus (Februari 1990). "On Mathematical Elements in the Tchokwe "Sona" Tradition". For the Learning of Mathematics. 10 (1): 31–34. JSTOR 40247972.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Gerdes, Paulus (1994). "On mathematics in the history of Sub-Saharan Africa". Historia Mathematica. 21 (3): 345-376. doi:10.1006/hmat.1994.1029. ISSN 0315-0860.
- ↑ Gerdes, Paulus (30 Septemba 1999). Geometry from Africa: Mathematical and Educational Explorations. MAA. ISBN 978-0-88385-715-1.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lusona kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |