Lupepo Village
Mandhari
Lupepo Village ni filamu inayohusu kijiji ambacho kinapitia misukosuko na changamoto za tamaduni na desturi za mila ya kijiji hicho.[1]
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Zainab Ally
- Jenifa Chiwanza
- Radhia Deko
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mafufu, Jimmy, Lupepo Village, Zainab Ally, Jenifa Chiwanza, Radhia Deko, Zitto Entertainment, iliwekwa mnamo 2025-08-28
| Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lupepo Village kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |