Luleå
Mandhari
Luleå (Kisami: Luleju, Kifini: Luulaja) ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1621. Kuna wakazi 45,467 (mwaka 2005).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 28.81 km².Iko katika kaskazini ya nchi kando la Bahari ya Baltiki.
-
Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Luleå
-
Kanisa la Luleå
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Luleå kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |