Lukas Klostermann
Mandhari

Lukas Manuel Klostermann (matamshi ya Kijerumani: [ˈluːkas ˈkloːstɐman]; alizaliwa 3 Juni 1996) ni mchezaji wa soka wa kulipwa wa Ujerumani anayocheza kama beki wa kulia au beki wa kati katika klabu ya RB Leipzig ya Bundesliga.
Kazi ya Klabu
[hariri | hariri chanzo]VfL Bochum
[hariri | hariri chanzo]Klostermann alizaliwa Herdecke, Ujerumani, na alianza kucheza soka akiwa na umri wa miaka mitano au sita.
Alicheza katika timu mbalimbali za vijana za FSV Gevelsberg, SSV Hagen na VfL Bochum. Akiwa FSV Gevelsberg, alicheza katika nafasi mbalimbali kabla ya kujiimarisha katika nafasi ya ulinzi alipokuwa VfL Bochum.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://rbleipzig.com/en/teams/mens/lukas-klostermann
- ↑ https://datencenter.dfb.de/en/data-center/people/lukas-klostermann/player
- ↑ https://rblive.de/news/lukas-klostermann-reise-in-den-celtic-park-das-europa-league-highlight-3303673
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lukas Klostermann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |