Luka Deborah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luka Deborah (alizaliwa mnamo 2003) ni mwanasoka wa kike kutoka Sudan Kusini ambaye hucheza kama mshambuliaji wa klabu ya Yei Joint Stars FC [1] .

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Kwa sasa Deborah anacheza kama mshambuliaji wa Yei Joint Stars FC ambayo iko Yei Sudan Kusini na inacheza katika ligi ya Taifa ya kandanda ya wanawake ya Sudan Kusini [2]

Ni mmoja wa wanasoka bora wa kike ambaye hukosi kufunga bao katika kila mchezo ambapo humfanya kuwa mshambuliaji asiyezuilika kila mara [3] [4] .

Klabu[hariri | hariri chanzo]

Luka Deborah Alianza maisha yake ya soka ya kitaaluma alipojiunga na Yei Joint Stars FC mwaka wa 2019. Kwa sasa anachezea Yei Joint Stars FC katika Ligi ya Taifa ya Wanawake ya Sudan Kusini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ogila, Japheth (2022-04-19). "Deborah Luka: Yei Joint Stars’ big name on mission". The City Review South Sudan (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-01-09. 
  2. cfeditoren (2022-04-19). "Deborah Luka: Yei Joint Stars’ big name on mission". South Sudan (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-01-09. 
  3. Review, The City (2022-03-01). "Deborah scores five as Yei Joint Stars hit Tiger United 8-0". The City Review South Sudan (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-01-10. 
  4. Emmalex, Brown (2022-02-26). "Deborah scores super hat trick to hand Yei Joint Stars their first win in South Sudan Cup". tk SPORTS SS News | Your Home of Sports (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-10. Iliwekwa mnamo 2023-01-10. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luka Deborah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.