Nenda kwa yaliyomo

Luis Alberto Parra Mora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luis Alberto Parra Mora (22 Machi 19448 Agosti 2023) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Kolombia. Alihudumu kama askofu wa jimbo la Mocoa–Sibundoy kuanzia mwaka 2003 hadi 2014.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.