Luis Albeiro Cortés Rendón
Mandhari
Luis Alberio Cortés Rendón (2 Februari 1952 - 12 Mei 2022) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Kolombia.
Cortés Rendón alizaliwa mjini Quimbaya, Quindío, Colombia. Alihudumu kama askofu wa Jimbo la Kanisa Katoliki la Vélez, Colombia, kuanzia mwaka 2003 hadi 2015. Baada ya hapo, alihudumu kama askofu wa Fidoloma na askofu msaidizi wa Jimbo la Kanisa Katoliki la Pereira, Colombia, kuanzia mwaka 2015 hadi kifo chake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |