Luigi Traglia
Mandhari
Luigi Traglia (3 Aprili 1895 – 22 Novemba 1977) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Italia.
Alihudumu kama Makamu wa Papa kwa Kanisa la Roma kutoka 1965 hadi 1968 na Dekano wa Baraza la Makardinali kutoka 1974 hadi kifo chake. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1960.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |