Nenda kwa yaliyomo

Luigi Talamoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luigi Talamoni (3 Oktoba 184831 Januari 1926) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki kutoka Italia na mwanzilishi wa Masista Wenye Rehema wa Mtakatifu Gerard.

Talamoni pia alishika ofisi ya kiraia kwa kipindi kifupi, lakini baadaye alijiuzulu kutokana na kuibuka kwa Ufashisti katika eneo hilo na kujitolea kwa kazi ya kuwahudumia maskini na kudumisha miundombinu ya kiraia.

Mchakato wa kumtangaza mwenye heri ulianza mwaka 2004.[1][2]

  1. "Luigi Talamoni (1848-1926)". Holy See. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Blessed Luigi Talamoni". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.