Luigi Raimondi
Mandhari
Luigi Raimondi (25 Oktoba 1912 – 24 Juni 1975) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alihudumu kama prefekti wa Idara ya Watakatifu ya Vatikani kuanzia alipoteuliwa kuwa kardinali na Papa Paulo VI mwaka 1973 hadi kifo chake miaka miwili baadaye.[1]
Kabla ya kushika wadhifa huo mjini Roma, Raimondi alihudumu kama Balozi wa Papa nchini Marekani kutoka mwaka 1967 hadi alipoteuliwa kushika nafasi yake katika Vatikani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XLVI. 1954. ku. 151, 294. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2020.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |