Luigi Giussani
Mandhari
Luigi Giovanni Giussani (15 Oktoba 1922 – 22 Februari 2005) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki kutoka Italia, mwanateolojia, mpenzi wa elimu, mtaalamu wa umma, na mwanzilishi wa harakati ya Kikatoliki ya kimataifa Comunione e Liberazione (Ushirika na Ukombozi).
Mchakato wa kumtangaza kuwa mwenye heri ulianzishwa mwaka 2012.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ""Looking for Beauty, He Found Christ"". English (kwa Kiingereza). 2016-07-04. Iliwekwa mnamo 2022-11-06.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |