Luigi Gatti (askofu)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Luigi Gatti (mtawa))
Luigi Gatti (alizaliwa Castiglione Tinella, Cuneo, Italia, 25 Novemba 1946) ni askofu mkuu wa Italia wa Kanisa Katoliki ambaye alihudumu kama Balozi wa Papa kuanzia mwaka 1998 hadi 2011.[1]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Luigi Gatti aliwekwa kuwa padre wa Dayosisi ya Alba tarehe 29 Juni 1970. Pia alipata udaktari katika sheria za Kanisa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pontificia Accademia Ecclesiastica, Ex-alunni 1950 – 1999" (kwa Kiitaliano). Pontifical Ecclesiastical Academy. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |