Nenda kwa yaliyomo

Luigi Centoz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luigi Centoz (2 Aprili 188327 Oktoba 1969), anayejulikana pia kama Louis Centoz, alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyefanya kazi kwa zaidi ya miongo mitano katika huduma ya kidiplomasia ya Ukulu mtakatifu, ama akiwa Roma au akihudumu katika ofisi za nje ya nchi.[1]

Aliteuliwa kuwa askofu mkuu mwaka 1932 na kuhudumu kama Balozi wa Kitume (Apostolic Nuncio) kuanzia wakati huo hadi mwaka 1962. Kuanzia 1962 hadi 1969, alihudumu kama Naibu Camerlengo wa Kanisa Takatifu la Roma (Vice Camerlengo of the Holy Roman Church).[2]

  1. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XLI. 1949. uk. 299. Iliwekwa mnamo 25 Novemba 2019.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XLVII. 1955. uk. 159. Iliwekwa mnamo 3 Mei 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.