Luigi Bonazzi
Mandhari
Luigi Bonazzi (alizaliwa 1948) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyejiunga na huduma ya kidiplomasia ya Vatikani. Amekuwa Balozi wa Papa nchini Albania tangu Desemba 2020. Kabla ya hapo, alikuwa balozi nchini Kanada kutoka Desemba 2013 hadi Desemba 2020.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Homily for the Episcopal Consecration Mass of Bishop Luigi Bonazzi" (kwa Kiitaliano). Secretariat of State. 16 Agosti 1999. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Machi 2013. Iliwekwa mnamo 15 Machi 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |