Luigi Allemandi
Mandhari
| Luigi Allemandi | |
| Amezaliwa | 8 Novemba 1903 San Damiano Macra, Italia |
|---|---|
| Amekufa | 25 Septemba 1978 (umri 74) Pietra Ligure, Italia |
| Nchi | Italia |
| Urefu | 1.83 m |
Luigi Allemandi (8 Novemba 1903[1] – 25 Septemba 1978) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Italia aliyecheza nafasi ya beki, mara nyingi kama beki wa kushoto. Alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya Italia iliyoshinda kombe la Dunia la FIFA mwaka 1934.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Archive – Luigi Allemandi" (kwa English). Inter.it. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-06-05. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "E' morto Allemandi, terzino mondiale nel '1934" (kwa Italian). Corriere della Sera. 26 Septemba 1978. Iliwekwa mnamo 24 Septemba 2026.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luigi Allemandi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |