Lugha za Kiomo
Mandhari
Lugha za Kiomo ni kundi la lugha 40 hivi zinaotumika hasa Ethiopia kusini magharibi, karibu na mto Omo, na kidogo Sudan kusini mashariki. Watumiaji ni milioni 8 hivi. Katika uainishaji wa lugha wataalamu wengi wanazipanga pamoja kati ya Lugha za Kiafrika-Kiasia, ingawa zinajibainisha kuliko zote kama za pekee, hivi kwamba wengine wanasema baadhi yake haziwezi kupangwa humo.
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Bender, M. Lionel (2000). Comparative Morphology of the Omotic Languages. Munich: LINCOM.
- Blench, Roger (2006). Archaeology, Language, and the African Past. Oxford: AltaMira Press. ISBN 9780759104662.
- Fleming, Harold (1976). "Omotic overview". Katika Bender, M. Lionel (mhr.). The Non-Semitic Languages of Ethiopia. East Lansing, MI: Michigan State University. ku. 299–323.
- Hayward, Richard J., mhr. (1990). Omotic Language Studies. London: School of Oriental and African Studies.
- Hayward, Richard J. (2003). "Omotic: the 'empty quarter' of Afroasiatic linguistics". Katika Jacqueline Lecarme (mhr.). Research in Afroasiatic Grammar II: selected papers from the fifth conference on Afroasiatic languages, Paris 2000. Amsterdam: John Benjamins. ku. 241–261. doi:10.1075/cilt.241.13hay.
- Newman, Paul (1980). The classification of Chadic within Afroasiatic. Universitaire Pers Leiden.
- Lamberti, Marcello (1991). "Cushitic and its Classifications". Anthropos. 86 (4/6): 552–561.
- Lamberti, Marcello (1993). Materialien zum Yemsa. Studi Linguarum Africae Orientalis, Band 5. Heidelberg: Universitätsverlag Winter. ISBN 3-8253-0103-6.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Bender, M. L. 1975. Omotic: a new Afroasiatic language family. (University Museum Series, 3.) Carbondale, IL: Southern Illinois University.
- Zaborski, Andrzej. 1986. Can Omotic be reclassified as West Cushitic? In Gideon Goldenberg, ed., Ethiopian Studies: Proceedings of the 6th International Conference pp. 525–530. Rotterdam: Balkema.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Is Omotic Afro-Asiatic? Archived 2021-02-24 at the Wayback Machine by Rolf Theil
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiomo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |