Nenda kwa yaliyomo

Ludovico Taverna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ludovico Taverna (15351617) alikuwa mwanadiplomasia na askofu wa Italia, ambaye alihudumu kama Balozi wa Papa kwanza nchini Uhispania kuanzia mwaka 1582 hadi 1585, halafu mjini Venezia kuanzia mwaka 1592 hadi 1596, na kama Askofu wa Lodi kuanzia mwaka 1579 hadi 1616.[1]

  1. "I Conti Taverna". Archivio di Stato di Milano. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-27. Iliwekwa mnamo 16 Januari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.