Nenda kwa yaliyomo

Ludovico Micara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ludovico Micara alivyochorwa.

Ludovico Micara (12 Oktoba 177524 Mei 1847) alikuwa Mkapuchini na Kardinali wa Italia.

Alizaliwa Frascati, katika Dola la Papa. Alipata daraja ya upadri mwaka 1798, akawa Dekani wa Rika la Makardinali mwaka 1824.

Katika kipindi cha mwisho wa Vita vya Napoleon Bonaparte, alikuwa mafichoni. Alikuwa Mhubiri wa Papa mwaka 1820. Aliwekwa kuwa kardinali mwaka 1824. Alikuwa Askofu wa Frascati mwaka 1837 na Askofu wa Ostia mwaka 1844.

    Makala hii bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.