Nenda kwa yaliyomo

Ludovico Barbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ludovico Barbo, O.S.B. (anajulikana pia kama Luigi Barbo; 13811443) alikuwa mtu mashuhuri katika harakati za kurekebisha maisha ya kitawa kaskazini mwa Italia katika karne ya 15. na askofu wa Treviso (1437–1443).[1][2]

  1. Eubel, Konrad (1914). Hierarchia catholica medii et recentioris aevi. Juz. la II (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. uk. 248. (in Latin)
  2. Cheney, David M. "Bishop Lodovico Barbo, O.S.B." Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo Juni 16, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)self-published
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.