Ludmila Manicler
Mandhari
Ludmila Manicler (alizaliwa 6 Julai 1987) ni mchezaji wa soka na futsal kutoka Argentina anayekipiga kama mshambuliaji. Hapo awali alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya wanawake wa Argentina.[1]
Ana urefu wa sentimita 163 na uzito wa kilo 48.40. Awali aliwahi kuchezea FC Barcelona katika Ligi Kuu ya Hispania (Primera División).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "FIFA Player Statistics". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Agosti 2008.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ludmila Manicler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |