Luděk Macela
Mandhari
Luděk Macela (3 Oktoba 1950 – 16 Juni 2016) alikuwa mchezaji wa soka kutoka Ucheki. Aliichezea timu ya taifa ya soka ya Chekoslovakia katika michezo nane.
Alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka 1980, ambapo Czechoslovakia ilishinda medali ya dhahabu.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hall of Fame Dukla Praha profile" (kwa Czech). Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luděk Macela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |