Lucio Nicoletto
Mandhari
Lucio Nicoletto ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyekuwa vikari mkuu wa Jimbo Katoliki la Roraima, Brazil.
Tarehe 13 Machi 2024, alichaguliwa kuwa prelate wa São Félix do Araguaia, Brazil. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ smelchiori (2024-03-13). "Don Lucio Nicoletto nominato vescovo prelato di São Felix do Araguaia (Brasile)". Chiesa di Padova (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2024-03-18.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |