Lucie Delarue-Mardrus
Mandhari
Lucie Delarue-Mardrus (3 Novemba 1874 mjini Honfleur – 26 Aprili 1945 mjini Château-Gontier) alikuwa mwandishi wa habari, mshairi, mwandishi wa riwaya, mchongaji sanamu, mwanahistoria, na mbunifu kutoka nchini Ufaransa. Alikuwa mwandishi mwenye tija kubwa sana, ambaye alitengeneza zaidi ya vitabu 70 katika maisha yake.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lucie Delarue-Mardrus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |