Nenda kwa yaliyomo

Luciano Acosta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luciano Federico “Lucho” Acosta (alizaliwa 31 Mei 1994) ni mchezaji wa kandanda wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya kiungo mshambuliaji. Kwa sasa anachezea klabu ya Fluminense inayoshiriki Campeonato Brasileiro Série A.[1]

Acosta alianza taaluma yake ya soka katika ngazi ya kulipwa akiwa na Boca Juniors, kabla ya kuhamia Marekani. Huko alichezea vilabu vya Major League Soccer vikiwemo D.C. United, FC Cincinnati na FC Dallas kuanzia mwaka 2016 hadi 2025.[2][3]

  1. "FC Cincinnati acquire up to $6 million from FC Dallas in exchange for Lucho Acosta". FC Cincinnati. 12 Februari 2025. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "La conmovedora historia de Luciano Acosta, la revelación de Boca en el torneo". 8 Machi 2014. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Diario Olé (8 Machi 2014). ""Me dijeron que no iba a crecer más"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Machi 2014. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luciano Acosta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.