Lucas Moreira Neves
Mandhari
Lucas Moreira Neves, O.P. (16 Septemba 1925 – 8 Septemba 2002) alikuwa Kardinali wa Brazili, Askofu, na Mkuu wa Idara ya Maaskofu (Congregation for Bishops) katika Kanisa Katoliki.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XC. 1988. ku. 557, 559. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2022.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |