Nenda kwa yaliyomo

Lucas Abascia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucas Nicolás Abascia (aliyezaliwa tarehe 10 Desemba 1995) ni mchezaji wa soka kutoka Argentina anayekipiga kama kiungo wa kati (centre-back) kwa klabu ya Central Córdoba SdE, akiwa mkopeshwa kutoka klabu ya Chile, Ñublense.[1]

  1. "La gloria es suya: Sportivo Las Parejas campeón de la Copa Santa Fe 2019". Diario El Ciudadano (kwa Kihispania). 14 Novemba 2019. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucas Abascia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.