Luc Abalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Mpira wa mikono Luc Abalo
Mchezaji wa Mpira wa mikono Luc Abalo

Luc Abalo (aliyezaliwa 6 Septemba 1984) ni mchezaji wa mpira wa mikono Mfaransa anayechezea timu ya Zeekstar Tokyo na timu ya taifa ya Ufaransa. [1]

Akiwa mwanachama wa timu ya taifa tangu 2005, alishinda medali za dhahabu katika mashindano ya Olimpiki ya mwaka 2008, 2009, 2011, 2012, na 2017, na mwaka 2006, 2010 na 2014 ubingwa wa Uropa.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://handball.sportresult.com/HBEM14M/PDF/FRA-R.pdf
  2. Beijing Olympics Results and Live Scores | NBC Olympics (en). results.nbcolympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "XI European Championship 2014. Team Roster, France" (PDF). EHF. Retrieved 12 January 2014.
  2. Luc Abalo. nbcolympics.com