Nenda kwa yaliyomo

Lubombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lubombo ni mkoa wa Eswatini, upande wa mashariki. Una eneo la km2 5,849 na wakazi 248,594 (sensa ya mwaka 2023). Makao makuu ni Siteki.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lubombo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.