Nenda kwa yaliyomo

Luís Miguel Muñoz Cárdaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luis Miguel Muñoz Cárdaba (alizaliwa 25 Agosti 1965) ni askofu wa hispania wa Kanisa Katoliki ambaye amekuwa akifanya kazi katika idara ya kidiplomasia ya Vatikani tangu mwaka 2001. [1]

  1. Muñoz Cárdaba, Luis Miguel (Juni 1999). Principios eclesiológicos de la "Pastor Bonus". Tesi Gregoriana: Serie Teologia 56 (kwa Kihispania). Rome: Gregorian University Press.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.