Nenda kwa yaliyomo

Louis de l'Isle de la Croyère

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Louis de l'Isle de la Croyère (takriban 168510 Oktoba 1741) alikuwa mwanaastronomia wa Ufaransa, aliyeitumikia Milki ya Urusi na kuwa mwanataaluma wa Chuo cha Sayansi cha Urusi huko Saint Petersburg.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis de l'Isle de la Croyère kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.