Nenda kwa yaliyomo

Louis Raphaël I Sako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Louis Raphaël I Sako (kwa Kiarabu: لويس روفائيل ساكو; alizaliwa 4 Julai 1948) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki la Kikaldayo ambaye amehudumu kama Patriarki wa Baghdad tangu tarehe 1 Februari 2013. Papa Fransisko alimteua kuwa Kardinali tarehe 28 Juni 2018.

Mnamo mwaka wa 2023, katikati ya mgogoro na serikali ya Iraq, alitangaza kwamba angehamia Kurdistani ya Iraq. Hata hivyo, alirejea Baghdad mwaka 2024 baada ya kupatana na serikali ya Iraq.[1]

  1. Milad, Fathy (22 Septemba 2021). "جريمةُ القتلِ المأساوية بين أول أخوين : قايين وهابيل "الإجهاضُ قتلٌ على طريقةِ قايين"". Catholic Church in Egypt (kwa Kiarabu). Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.