Louis Joseph Reicher
Mandhari
Louis Joseph Reicher (14 Juni 1890 – 23 Februari 1984) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki wa Marekani.
Alikuwa askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Austin huko Texas kutoka mwaka 1948 hadi 1971.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Curtis, Georgina Pell (1961). The American Catholic Who's Who. Juz. la XIV. Grosse Pointe, Michigan: Walter Romig.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |