Louis Billot
Mandhari
Paul Joseph Marie Gouyon (24 Oktoba 1910 – 26 Septemba 2000) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki la Ufaransa. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Rennes kuanzia 1964 hadi 1985, na alipewa cheo cha kardinoli mwaka 1969.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |