Louis-Albert Vachon
Mandhari
Louis-Albert Vachon, CC OQ (4 Februari 1912 – 29 Septemba 2006) alikuwa mtumishi wa elimu, kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa Quebec. Alikuzwa kuwa kardinali tarehe 25 Mei 1985.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |