Loubna Abidar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Loubna Abidar

Loubna Abidar mnamo 2016
Amezaliwa 20 Septemba 1985
Kazi yake Mwigizaji

Loubna Abidar (alizaliwa Marrakesh, 20 Septemba 1985) ni mcheza filamu wa Moroko.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alifanya filamu iliyoitwa Much Loved iliyosimamiwa na muongozaji Nabil Ayouch.[1] Filamu hiyo ilipigwa marufuku nchini Moroko kwa kuonekana inakiuka maadili ya Uislamu. Abidar alipokea vitisho vya kifo kutokana na kuigiza filamu hiyo. Mnamo Novemba 2015, alishambuliwa vikali huko Casablanca akaondoka nchini kuelekea Ufaransa[2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "TF1 INFO - L’info pour tous et pour chacun". TF1 INFO (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2022-03-01. 
  2. Ayouch, Nabil (2015-09-16), Much Loved, Les Films du Nouveau Monde, New District, Barney Production, iliwekwa mnamo 2022-03-01 
  3. Alami, Aida (2016-02-12), "Loubna Abidar, Moroccan Actress, Finds Fame Tinged With Fury", The New York Times (kwa en-US), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-03-01 
  4. "Much Loved : après son agression, Loubna Abidar se réfugie en France". LEFIGARO (kwa Kifaransa). 2015-11-08. Iliwekwa mnamo 2022-03-01. 
  5. https://balancetonporn.com/la-fellation-et-lanulingus-de-loubna-abidar-dans-le-film.html
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Loubna Abidar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.