Lotte Backes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lotte Backes ( 2 Mei 1901 - 12 Mei 1990 ) alikuwa mpiga kinanda wa Kijerumani na mtunzi.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Backes alisoma piano kutoka 1915 hadi 1917 huko Strasbourg na kutoka 1918 hadi 1922 huko Düsseldorf. Baadaye, aliimba huko Ujerumani na Ulaya. Kuanzia 1931 hadi 1990, aliishi Berlin. Kuanzia 1935 hadi 1938. alisomea utunzi katika Prussian Academy of Arts. Alitunga opera mbili, sifoni, na alifanya kazi kwa kwaya na ogani. Kwa utunzi wake, alitunukiwa Amri ya Sifa ya Jamhuri ya Shirikisho ya Ujerumani.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lotte Backes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  1. Bühring, Holger. "Lotte Backes". MUGI. Iliwekwa mnamo July 13, 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)