Lothar Matthäus
Mandhari
Lothar Herbert Matthäus (alizaliwa tarehe 21 Machi 1961) ni mchambuzi wa soka wa Ujerumani na mchezaji wa zamani wa kulipwa pamoja na kocha. Aliiongoza timu ya Ujerumani Magharibi kama nahodha hadi kushinda Kombe la Dunia la FIFA mwaka 1990 na akatunukiwa tuzo ya Ballon d'Or.,[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lothar Matthaus". 11v11.com. AFS Enterprises. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Sparkling Italy spring ultimate upset". Glasgow Herald. 12 Julai 1982. Iliwekwa mnamo 30 Aprili 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lothar Matthäus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |