Lonah Chemtai Salpeter
Mandhari
| Lonah Chemtai Salpeter | |
|---|---|
| | |
| Jina la kuzaliwa | Lonah Korlima Chemtai |
| Alizaliwa | 12/12/1988 |
| Nchi | Kapkanyar, Kenya |
Lonah Korlima Chemtai Salpeter (alizaliwa 12 Desemba 1988) ni Mwanariadha wa mbiofundi wa Olimpiki wa Israeli. Alizaliwa Kenya lakini anaongoza Israel kimataifa. Alipata medali ya shaba kwenye mbio za marathon katika Michuano ya Dunia ya Atletiki 2022. Katika Michuano ya Ulaya ya Atletiki kwenye mbio za 10,000m, Salpeter alipata medali ya dhahabu mwaka 2018 na medali ya shaba mwaka 2022. Pia alishinda Tokyo Marathon 2020, alipata medali ya fedha katika New York City Marathon 2022, na kumaliza wa tatu katika Boston Marathon 2023.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "המירוץ של לונה: "מקבלת המון תמיכה ופרגון מעוברי אורח ברחוב"". Ynet. Mei 19, 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lonah Chemtai Salpeter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
